facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Utakaso ni kipengele muhimu ya Waislamu wote. Ina maana usafi nzima na usafi wa mwili, nguo, maeneo na nyanja zote za maisha . Kujifunza zaidi kuhusu Vyombo

Utakaso ni kipengele muhimu ya Waislamu wote. Ina maana usafi nzima na usafi wa mwili, nguo, maeneo na nyanja zote za maisha . Kujifunza zaidi kuhusu Vyombo

Je, kuna yoyote aliyeishuhudia Hija na ukubwa wake, Imani na vile inavyotoa mwangaza, makundi mengi namna yanavyomtukuza Mwenyezi Mngu na kumhimidi? Mandhari ya Hija ni ya ajabu na ya kutisha, inawafanya Waumini wafurahi na wenye kumpwekesha  wawe na nguvu, na wenye kughafilika wanashangaa.Hija ina maana gani kwenu nyinyi, enyi Waislamu!

Je, kuna yoyote aliyeishuhudia Hija na ukubwa wake, Imani na vile inavyotoa mwangaza, makundi mengi namna yanavyomtukuza Mwenyezi Mngu na kumhimidi? Mandhari ya Hija ni ya ajabu na ya kutisha, inawafanya Waumini wafurahi na wenye kumpwekesha wawe na ...

Haki ya wazazi wawili iko na inaendelea, na kukaa nao vyema ni lazima, hata kama wao ni makafiri, kwani kuwatenda wema haihusiani na kuwa wao ni Waislamu. Uislamu umeonya juu ya kuteta na wao maonyo makali, ukafanya kuteta na wazazi wawili ni miongoni mwa makubwa ya madhambi makubwa baada ya kumshirikisha Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, bali ulifadhilisha kuwatumikia wazazi wawili juu ya kupigana jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu ambako ndio kilele cha Uislamu.

Haki ya wazazi wawili iko na inaendelea, na kukaa nao vyema ni lazima, hata kama wao ni makafiri, kwani kuwatenda wema haihusiani na kuwa wao ni Waislamu. Uislamu umeonya juu ya kuteta na wao maonyo makali, ukafanya kuteta na wazazi wawili ni miongon ...

ulimi ni kiungo muhimu kwa mwanadamu,na kwa ulimi mtu huwa muislamu nao nikule kutemka shahada,na kwa ulimi mtu anaweza kutoka katika uislamu nao ni pale atakapo temka neno la ukafiri,kwa hivyo ndugu zangu tumetahadharishwa sana na kuchunga ndimi zetu,kuepukana na kusema urongo na kusengenya na tumeamrishwa tuwe ni watu wakusema ukweli,kwani makosa mengi ya binadamu hutokamana na ulimi

ulimi ni kiungo muhimu kwa mwanadamu,na kwa ulimi mtu huwa muislamu nao nikule kutemka shahada,na kwa ulimi mtu anaweza kutoka katika uislamu nao ni pale atakapo temka neno la ukafiri,kwa hivyo ndugu zangu tumetahadharishwa sana na kuchunga ndimi zet ...

Siku ya Ijumaa, siku bora kabisa iliyotokewa na jua. Katikas siku hii Mwenyezimngu Alimuumba Adam, Kiyama kitasimama na ni siku ya Idi kwa Waislamu. Kwa hivyo, yameamrishwa baadhi ya mambo, miongoni mwao: hutuba ya Ijymaa,kuoga, kujitia manukato, kwenda Ijumaa kwa kuvaa vazi zuri zaidi nap ambo zuri zaidi, kwenda Ijumaa mapema, kukaa karibu na imamu na kuutayarisha moyo kusikiliza mawaidha na utajo wa Mwenyezi Mngu.

Siku ya Ijumaa, siku bora kabisa iliyotokewa na jua. Katikas siku hii Mwenyezimngu Alimuumba Adam, Kiyama kitasimama na ni siku ya Idi kwa Waislamu. Kwa hivyo, yameamrishwa baadhi ya mambo, miongoni mwao: hutuba ya Ijymaa,kuoga, kujitia manukato, kwe ...

Ushahidi