facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube

. Utangulizi

1 Imeandikwa sera hii ya faragha, kuonyesha dhamira yetu ya siri kwa wageni wetu. Na tutaelezea kwenye mistari ijao njia ya mtandao huu sw.islamkingdom.com jinsi inavo kusanya taarifa, na jinsi ya kuzitumia.

2 Mtandao wa sw.islamkingdom unakusanya data za waegeni kwa njia mbili:

A) Ni kukusanya taarifa moja kwa moja kwa njia ya mtandao server hosting, kama inavyo kusanya mitandao yote ya kimataifa.

B) Kwa kutumia maelezo yaliyotolewa kwa hiari na wageni kwa njia ya usajili wa hiari kwenye Tovuti hii kama kujisajili kwenye (orodha ya anwani) na (wasiliana nasi) ... nk.

2 Maelezo yaliokusanywa moja kwa moja.

1 2 Huduma ya mtandao wa kimataifa inasajili moja kwa moja kumbukumbu baadhi ya wageni hii ni pamoja na kusajili : (Muda na tarehe ya ziara hiyo, na anuani ya mtandao wa kimataifa (IP), na jina la mtandao wa kimataifa browser, mfumo wa uendeshaji, na nchi, na kumbukumbu ya link (URL).

2 2 Maelezo yanayopatikana kwenye tovuti sw.islamkingdom.com ni sawa na Maelezo yanao patikana kwa tovuti nyingine yoyote ile, na Maelezo haya si maelezo ya kina,wala ya Mtu kibinafsi , Maelezo haya yaturuhusu sisi kuendeleza yaliyomo ndani ya tovuti, ili kutosheleza mahitaji ya wageni wetu, wakati huo huo kutusaidia kurekebisha maudhui wanao hitajia wageni wetu.

3 Fomu ya usajili

1 3 Maelezo tuliyopewa kwa hiari kwa njia ya tovuti mbalimbali, inaturuhusu sisi kusaidia wageni wetu kwa kuwapatia taarifa muhimu na kuwasiliana nao, na wakati huo huo kutusaidia katika kuendeleza yaliyomo ndani ya tovuti, kwa kuambatana na mahitaji ya wageni wetu.

2 3 Baadhi ya fomu hizi zinahitaji kwa wageni wetu Data za mtu binafsi, kama vile: (jina, barua pepe, mawasiliano na namba, jinsia, na umri) na Maelezo yalio sajiliwa hapa ni kutumika tu katika kuwajibu wageni wetu maswali yao,na kuwasiliana nao wakati wa dharura.

3 3 Kwa namna yoyote ile hatutapeana Maelezo ya wageni wetu kwa mtu mwengine isipo kuwa pakihitajika mahakamani,sawa kwa wenye matangazo au wafadhili,au mfano wake,yawazekana kupeana Maelezo ya kawaida tu bila ya kumtambulisha mgeni wetu kwa yoyote, lakini hatutapeana maelezo kuhusu mgeni wetu kwa mtu wa tatu kabisa.

4 Viungo vya nje

1 4 Tovuti hii ina viungo na tovuti za nje, na tovuti sw.islamkingdom.com haina majukumu ya kuwajibika kwa sera ya faragha katika tovuti hizo za nje, wala kwa yaliyomo.

2 4 Tovuti hii ina viungo na tovuti nyingine katika kutumia huduma ya kufuatilia, sw.islamkingdom.com haina majukumu ya kuwajibika kwa Sera ya faragha ya Tovuti hizo, na haina Mamlaka juu ya njia za utumiaji wa tuvuti hizo, katika Ukusanyaji wa kusajili maelezo na utumiaji wake.

Kwa kutembelea kwako tuvuti yetu ya sw.islamkingdom.com utaruhusiwa kutumia huduma ya tovuti za nje, na wakati huo huo, tovuti hii haitowajibika kufuatilia tovuti hizo,na kazi yake.

5 Usalama wa habari

1 5 Tovuti ya sw.islamkingdom.com linatilia maanani sana suala la usalama wa habari kutopotea au kutumia vibaya au kabadilisha yaliyomo, hilo ni la uhakika; Wataalam wachache, na watu wanaoaminika ndio ambao wanaoshughulika na usalama wa habari hizo

Backup inakuwa ni yak uendelea na kuhifadhiwa katika mahali salama.

6 Orodha ya Barua pepe ya Tovuti Islam Kingdom

1 6 Tovuti ya Islamkingdom.com itakuwa inatuma mara kwa mara orodha ya barua pepe, zinazo elezea updates za tuvuti hii

Kutumia huduma ya tovuti hii ni kuamanisha kuwa wewe umekubaliana kupokea hizi baridi elektroniki. Elewa - tafadhali- kupata huduma zetu za bure ni kukubali na kuzipokea barua pepe zetu. Na kama una pingamizi yoyote, tafadhali tuma barua pepe kwa toinfo@islamkingdom.com au tumia ukurasa (wasiliana nasi).

2 6 Sisi hatutawatumia email yoyote yenye matangazo au matapisho yenye madhara, kwa orodha au makundi, kwa sababu hii ni kinyume na sera ya faragha, na ni kero kwa watu, na kupoteza muda na fedha, na tunaomba kwa wenye kutembelea Tovuti hii kutofanya hivyo.

7 Kurekibisha maelezo

1 7 Unaweza kurekebisha Maelezo yako kwa

Kutuma barua pepe kwa:

info@islamkingdom.com

8 Wasiliana na tovuti

Tumia ukurasa wa (wasiliana nasi).