facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Maana ya Al-ilah ( mwenye kuabudiwa)
601

MaaNa ya Al-ilah (mwenye kuabudiWa)

{Yeye Ndiye Mwenyezi Mungu Ambaye Hakuna Aabudiwaye Kwa Haki Isipokuwa Yeye Tu} (Al-Hashr:22)

Al-Ilah Naye Ni Mwenye Kuabudiwa Na Kutiiwa, Anayestahiki Kuabudiwa. {Muabuduni Mwenyezi Mungu Wala Msimshirikishe Na Chochote} (Al Nisaa: 36)