" window.dataLayer = window.dataLayer || []; function gtag(){dataLayer.push(arguments);} gtag('js', new Date()); gtag('config', 'UA-110153707-17'); " " Abdullah Quilliam | 7443
facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Mwenye kuwatoa wanadamu kutoka kwenye kiza hadi kwenye nuru.

Abdullah Quilliam

Mwanafikra wa Uingereza

Mwenye kuwatoa wanadamu kutoka kwenye kiza hadi kwenye nuru.

“Nabii Muhammad aliwafikisha viumbe kwenye kiwango cha juu zaidi cha furaha kwa haraka sana. Na atakayeangalia kwa jicho la busara na uoni wa kina katika hali za wanadamu kabla ya hapo na upotofu waliokuwa nao, na akaangalia hali zao baada ya hapo na yaliyowakuta katika zama zao katika maendeleo makubwa utaona tofauti kubwa kati ya hali mbili hizo kama ilivyo kati ya mbingu na ardhi.”

Tabia ya Nabii wa Allah Muhammad.

Abdullah Quilliam

Mwanafikra wa Uingereza

Tabia ya Nabii wa Allah Muhammad.

Muhammad alikuwa ni mtukufu mno na maadili mema, alikuwa mwingi wa haya mwenye hisia kali. Alikuwa ni mwenye ufahamu mkubwa na akili nyingi, mpole na mwenye heshima.”