facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Mungu Mmoja

Agano Jipya (Injili)

Agano Jipya (Injili)

Mungu Mmoja

“Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani, kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.” (Mathayo 4:10, Luka 4:8). “Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.” (Yohana 17:3).