facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Elimu na Dini.

Einstein

Mwanasayansi na mtaalamu wa Fizikia

Elimu na Dini.

“Mimi si amini ya kuwa elimu yapasa igongane na dini katika hali ya kawaida. Kwa hakika ninaona kuna uhusiano na fungamano baina yao. Hivyo basi mnasema kuwa elimu bila ya dini ni kama vile mtu aliyepooza mguu. Na dini bila ya elimu ni kipofu kila kimoja ni muhimu. Zinatakiwa zifanye kazi pamoja mkono kwa mkono. Inaelekea kwangu kuwa Yule ambae hatofurahishwa na ukweli katika elimu na dini ni kama mtu aliyekufa.”

Ifanye furaha kuwa ni lengo lako

Einstein

Mwanazuoni wa Fizikia

Ifanye furaha kuwa ni lengo lako

“Ukitaka kuwa mwenye furaha: Unganisha furaha na lengo na sio na mtu au na kitu.”

Matokeo Imara

Einstein

Mwanazuoni wa Fizikia

Matokeo Imara

“Imani ni matokeo imara na matukufu zaidi katika tafiti za kisayansi.”