facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Imani ya Mungu ni maumbile (Fitra).

Justin Barret

Mtafiti katika chuo kikuu cha Oxford

Imani ya Mungu ni maumbile (Fitra).

“Akili zinazokuwa katika hali ya kawaida kwa watoto zinawafanya kuelekea katika kumuamini Mungu Muumba, badala ya makuzi ambayo sio ya kawaida ya akili za binadamu na ugumu wa kukubali na kudhibiti.”

Uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

Justin Barret

Mtafiti wa Chuo Kikuu cha Oxford.

Uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

“Kwa hakika watoto wadogo muelekeo uliotangulia wa kumuamini Mungu. Kwani wao huzingatia kuwa kila kilicho katika Ulimwengu huu kimeumbwa kwa sababu. Hata kama tukiwatupa watoto peke yao kisiwani na wakaishi wenyewe bila shaka watamuamini Mwenyezi Mungu.”