facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Furaha ya Kweli

Lauren Booth

Mwanaharakati wa haki za binaadamu wa Uingereza.

Furaha ya Kweli

“Hivi sasa ninaishi katika uhalisia na sio katika haiba ile ya udanganyifu ambayo tunaishi katika maisha yetu ya sasa. Maada, matumizi yetu, na maingiliano yetu na jinsia nyingine pamoja na matumizi ya mihadarati. Vyote hivi ni vinavyotupa furaha lakini kwa sasa nimeona Ulimwengu uliojaa furaha na uliojitosheleza kwa upendo, matarajio na amani.

Amani ya Kweli.

Lauren Booth

Mwana harakati wa kutetea haki za Binadamu wa Uingereza.

Amani ya Kweli.

“Ninapata hisia kama wapatavyo Waislamu wanaposwali; Hisia tamu inapochanganyika na furaha na hilo ndilo nililokuwa nikihisi na kushukuru kwa sababu yake. Kama ambavyo watoto wangu wapo katika amani. Kwa hakika sitaki zaidi ya hayo.”

Lauren Booth

-------------

“Kuna utafiti unaothibitisha kuwa mtu kuwasaidia wengine ni tiba ya babaiko la nafsi, wataalamu katika saikolojia wanathibitisha kwamba kuwasaidia wengine hupunguza wasiwasi na msongo wa mawazo ambapo kushughulika kwa hima katika kuwasaidia wengine huhamasisha kutoa Homoni aina ya hormone endorphins nayo ni homoni yenye kumsaidia mtu kuhisi raha ya kinafsi na hisia za juu za furaha, Alan Leeks Mkuu wa zamani wa chuo cha “Kukuza Afya” (institute for health promotion) huko Marekani anathibitisha kwamba kuwasaidia wengine husaidia katika kupunguza msongo wa mawazo ambapo mtu kuwasaidia wengine hupunguza mawazo yake yeye mwenyewe binafsi na matatizo yanayomkabili mwenyewe: Na mwisho hupata mwenyewe hisia za raha na utulivu wa nafsi.”

Amani, Utulivu na Usalama

Lauren Booth

Mwanaharakati wa haki za Binadamu wa Uingereza.

Amani, Utulivu na Usalama

“Rukuu na Sijida katika Swala ya Waislamu hushibisha nafsi amani, utulivu na usalama. Kila mmoja huanza Swala yake kwa Bismillahir Rahmanir Rahym na humalizia kwa Asalaam Alaykum.”