" window.dataLayer = window.dataLayer || []; function gtag(){dataLayer.push(arguments);} gtag('js', new Date()); gtag('config', 'UA-110153707-17'); " " Naseem Souza | 7443
facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Uislamu… Ni amani na salama

Naseem Souza

Mhadhiri wa Kiiraqi, Myahudi

Uislamu… Ni amani na salama

“Mayahudi chini ya bendera ya Uislamu walipata amani na uadilifu ambayo iliwazuia na shari ya uadui na kukandamizwa, na Karne nyingi zilipita wakiwa katika kheri nyingi.”

Furaha kwa Wanadamu.

Naseem Souza

Mhadhiri wa Kiyahudi wa Iraqi

Furaha kwa Wanadamu.

“Inatupasa kupotea kwenye fikra kuwa maendeleo ya Magharibi kwa sasa yamefeli kwa sababu ya kuridhisha nafsi za watu na ilishughulikia katika kuleta furaha ya kibinadamu kwa hiyo ikawatupa watu katika shimo la kuangamiza na kumaliza kila kitu. Ni mbali hali hii kusifika kwa ukamilifu, au iwe nyenzo ya kumtumikia mwanadamu kama ilivyokuwa katika zama za Uislamu.”

Kina katika Ustaarabu wa Magharibi

Naseem Souza

Mhadhiri wa Kiyahudi huko Iraqi.

Kina katika Ustaarabu wa Magharibi

Mwanadamu ambae ameingia ndani ya ustaarabu wa Kimagharibi na akadiriki undani wake na akaupima kwa kina kinadharia na kivitendo hana budi kufuata kwa nguvu ndani ya nafsi kwenye imani ya Kiislamu ili akate kiu yake.”