facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Ni nzuri yenye kufuata mfumo maalumu

Plato

Mwanafalsafa wa Kigiriki (Kiyunani)

Ni nzuri yenye kufuata mfumo maalumu

“Kwa hakika Ulimwengu ni dalili katika uzuri na nidhamu wala hilo haliwezi kuwa ni matokeo ya sababu ya Itifaki, bali ni umbile la mwenye akili mwenye kukusudia kheri na kupanga kila kitu kwa makusudio na hekima.”

Lengo Kuu

Plato

Mwanafalsafa wa Kigiriki

Lengo Kuu

“Ulimwengu huu umedhihiri kwetu kwa hali hii ambayo haijaacha kitu chochote cha kubahatisha, bali kila sehemu katika sehemu zake kuelekea kwenye lengo. Lengo hilo linaelekea kwenye lengo kuu kabisa kuliko hilo. Hivyo ndivyo inavyofikia katika lengo la mwisho.”