" window.dataLayer = window.dataLayer || []; function gtag(){dataLayer.push(arguments);} gtag('js', new Date()); gtag('config', 'UA-110153707-17'); " " Sir George Bernard Shaw | 7443
facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Dini ya Dunia na Akhera

Sir George Bernard Shaw

Mwandishi wa Kiingereza

Dini ya Dunia na Akhera

“Mwanadamu msomi anaelekea kwa tabia yake katika Uislamu. Kwa sababu ni dini pekee ambayo inaangalia mambo ya duniani na akhera kwa usawa.”

Mwokozi wa Binadamu

Sir George Bernard Shaw

Mwandishi wa Kiingereza.

Mwokozi wa Binadamu

Mwokozi wa Binadamu “Kwa hakika ni katika Uadilifu Muhammad kuitwa, “Mwokozi wa Wanadamu”. Naamini kuwa mtu mfano wake lau angetawala ulimwengu huu leo hii angefanikiwa kutatua matatizo yake na hivyo furaha na amani ingechukua nafasi yake.”

Misingi ya Amani na Furaha

Sir George Bernard Shaw

Mwandishi wa Uingereza

Misingi ya Amani na Furaha

“Ulaya hivi sasa imeanza kuhisi hekima ya Muhammad na imeanza kutamani dini yake, kama ambavyo itikadi ya Kiislamu itasafishika na tuhuma chafu za karne ya kati kutoka kwa watu wa Ulaya. Dini ya Muhammad itakuwa ndio mfumo ambao juu yake kuna misingi ya amani na furaha, na falsafa yake inategemea katika kutatua matatizo na vifungo.”

Njia ya Ulimwengu

Sir George Bernard Shaw

Mwandishi wa Uingereza.

Njia ya Ulimwengu

Nimesoma vizuri maisha ya Muhammad Mtume wa Uislamu mara nyingi, sikupata ndani yake ila matukufu ya tabia kama kinavyotakiwa kuwa.Ni mara ngapi nimetamani Uislamu kuwa ndio njia ya Ulimwengu.”