" " Thomas Arnold | 7443
facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Hakika Waumini Wote ni Ndugu

Thomas Arnold

Mustashrik wa Uingereza.

Hakika Waumini Wote ni Ndugu

“Alikuwa mfano wa juu unaolenga kwenye udugu wa waumini wote upo katika Uislamu. Ni miongoni mwa nyenzo zilizowavuta watu kwa nguvu kuingia katika imani hii.”

Dini haina nafasi ya matamanio.

Thomas Arnold

Mustashrik (mtaalamu wa mambo ya nchi za mashariki) wa Kiingereza.

Dini haina nafasi ya matamanio.

“Tunaona katika sababu ya mapokezi ya kushangaza aliyokutana nayo Muhammad huko Madina, ni kuwa kuingia katika Uislamu kwa watu wa Madina ulianza kwa tabaka la viongozi na lengo ilikuwa ni kutibu fujo ile ambayo ilikumba jamii ya Madina na ikiteseka nayo. Sababu kubwa ni kile walichokipata ndani ya Uislamu, ambayo ni kuwepo kwa nidhamu madhubuti chini ya sheria zilizopangwa. Na matamanio ya watu kuwa chini ya utawala wa kisheria ambao umejitenga na matamanio yao.”