facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Desturi Mbovu

Tolstoy

Mwanafasihi wa Kirusi.

Desturi Mbovu

“Inatosha aliyofanya Muhammad kuuondoshea Ummah wake uliokuwa duni kwenye kutoka kwenye makucha ya shetani na desturi mbovu. Hivyo kufungua mbele yao njia ya kupenda maendeleo, na kuwa sheria ya Muhammad itatawala Ulimwengu kwa kuambatana kwake na akili na hekima.”

Furaha ipo karibu sana na sisi

Tolstoy

Mwanafasihi wa Urusi

Furaha ipo karibu sana na sisi

“Tunaitafuta furaha mara nyingi lakini ipo karibu yetu, kama vile tunavyotafuta miwani iliyopo machoni mwetu.”

Sheria ya kweli.

Tolstoy

Mwanafasihi wa Kirusi

Sheria ya kweli.

“Nimefahamu na kudiriki kuwa anachohitaji mwanadamu ni sheria ya mbinguni inayoweka haki na kuondosha batili.”

Mwisho wa Utume

Tolstoy

Mwanafasihi wa Kirusi.

Mwisho wa Utume

“Mimi ni mmoja miongoni mwa waliofurahishwa na Nabii Muhammad aliyechaguliwa na Mwenyezi Mungu mmoja, ili ujumbe wa mwisho uwe juu ya mikono yake, na pia yeye awe Mtume wa mwisho.”