facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Haki ya wazazi wawili iko na inaendelea, na kukaa nao vyema ni lazima, hata kama wao ni makafiri, kwani kuwatenda wema haihusiani na kuwa wao ni Waislamu. Uislamu umeonya juu ya kuteta na wao maonyo makali, ukafanya kuteta na wazazi wawili ni miongoni mwa makubwa ya madhambi makubwa baada ya kumshirikisha Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, bali ulifadhilisha kuwatumikia wazazi wawili juu ya kupigana jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu ambako ndio kilele cha Uislamu.

Haki ya wazazi wawili iko na inaendelea, na kukaa nao vyema ni lazima, hata kama wao ni makafiri, kwani kuwatenda wema haihusiani na kuwa wao ni Waislamu. Uislamu umeonya juu ya kuteta na wao maonyo makali, ukafanya kuteta na wazazi wawili ni miongon ...

Kujifunza zaidi kuhusu Zaka . "Chukua sadaka katika mali zao ili kuwatakasa na awatakase." na Zaaka ya bidhaa za biashara

Kujifunza zaidi kuhusu Zaka . "Chukua sadaka katika mali zao ili kuwatakasa na awatakase." na Zaaka ya bidhaa za biashara

Jua na Mwezi ni miongoni mwa alama za Mwenyezi Mungu (SW) hupatw kwa uwezo wake,na kuenyesha nguvu za mwenyezi mungu kwa viumbe vyake, ili warejee kwake na watubie maasia waliyoyafanya. Na  amewawekea kwa huko kupatwa jua au mwezi  Swala ili wapate kurudi kwa Mwenyezi Mungu (SW) , waombe msada kwake awaondolee balaa hiyo.

Jua na Mwezi ni miongoni mwa alama za Mwenyezi Mungu (SW) hupatw kwa uwezo wake,na kuenyesha nguvu za mwenyezi mungu kwa viumbe vyake, ili warejee kwake na watubie maasia waliyoyafanya. Na amewawekea kwa huko kupatwa jua au mwezi Swala ili wapate k ...

Utakaso ni kipengele muhimu ya Waislamu wote. Ina maana usafi nzima na usafi wa mwili, nguo, maeneo na nyanja zote za maisha . Kujifunza zaidi kuhusu Kuoga

Utakaso ni kipengele muhimu ya Waislamu wote. Ina maana usafi nzima na usafi wa mwili, nguo, maeneo na nyanja zote za maisha . Kujifunza zaidi kuhusu Kuoga

Je, kuna yoyote aliye ishuhudia Hija na ukubwa wake, Imani na vile inavyotoa mwangaza, makundi mengi namna yanavyomtukuza Mwenyezi Mungu na kumhimidi? Mandhari ya Hija ni ya ajabu na ya kutisha, inawafanya Waumini wafurahi na wenye kumpwekesha wawe na nguvu, na wenye kughafilika wanashangaa.Hija ina maana gani kwenu nyinyi, enyi Waislamu!

Je, kuna yoyote aliye ishuhudia Hija na ukubwa wake, Imani na vile inavyotoa mwangaza, makundi mengi namna yanavyomtukuza Mwenyezi Mungu na kumhimidi? Mandhari ya Hija ni ya ajabu na ya kutisha, inawafanya Waumini wafurahi na wenye kumpwekesha wawe n ...